Header Ads

Cup of coffee on saucer

MTOTO WA BACHU ANAENDELEA KUUSAFISHA UOZA WA KIJANA MDOGO ABDALLAH HUMEYD JUU YA KUMDHULUMU ZAINUL AABIDIIN


Jumamosi 20/2/2021/AD
RAJAB 8/1442/H

๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ *ุงู„ุฑุฏ ุงู„ู‚ูˆูŠู… ุงู„ุดุฏูŠุฏ ุนู„ู‰ ุชู„ุจูŠุณุงุช ุงุจู† ุญู…ูŠุฏ* ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ *Raddi imara yenye nguvu juu ya talbis za KIJANA MDOGO Abdallah Humeid* ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

๐ŸŽ™๐ŸŽ™  *Al-Akh Abuu 3Ubaydah Bin Nassor Bachu ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‡ ูˆุฑุนุงู‡*

*Jiunge na group letu kupitia๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡




ZINGATIA

HATUKO HAPA KWA LENGO LA USHABIKI MAANA HIZI SIO KAMPENI ZA SIASA WALA SIO TIMU ZA MPIRA....

Na wala hapa hulazimishwi kumpenda SHEIKH huyu bali LAZIMIANA NA WEMA WALIOTANGULIA KIVITENDO NA KIMANENO .

na vilevile tupo hapa kwa LENGO LA KUISAMBAZA HAQQI NA KUIREMBEA MBAALI BAATWIL

ikiwa una upenzi na sheikh wako hapa hapakuhusu maana sisi hatuangalii SHEIKH bali sisi tunaangalia nini KASEMA ALLAH na MTUME Wake ALAYHI SSALAAAM

KWA KUISIKILIZA AUDIO HIYO AU KUIHIFADHI NDANI YA SIMU YAKO BONYEZA MAANDIKO HAYA YA BLUE
 

No comments