Ewe muislamu toa sadaka yako kwa ajili ya ujenzi wa miskiti na madrasa za qur-an
ili tuweze kuinusuru dini ya Allah s.w
hakika utakachokitoa utakikuta siku ya akhera na ndo siku ya malipo wengi miongoni mwetu tunachangia sana mipira , mamis n.k lakini kutoa mchango kwa ajili ya Allah hatuko tayari
Ikiwa unahitaji msaada au mchango tumia blog yetu kufikisha maombi yako bureee bila ya fidia yeyote
No comments