Ufuatao ni utangulizi wa ELIMU YA MIRATHI YA KIISLAM
na tumeamua kuisomesha fani hii kwa sababu wengi miongoni mwetu tumeghalifika kuisoma fani hii na matokeo yake watu hugawana mali badala ya kurithi
TANBIH : ELIMU HII UTAISOMA NDANI YA SIMU YAKO KWA KUTUMIA APPS YA PDF KAMA UNAVOIYONA HAPO KWENYE UPANDE WAKO WA KULIA INGIA PLAYSTORE KISHA ITAFUTE UKISHA IINGIZA KWENYE SIMU YAKO SASA KINACHOFUATIA NI KUBONYEZA HILO NENO LENYE KUSOMEKA PDF DOWNLOAD UKISHA BONYEZA HIO PICHA YENYE NENO HILO UTAKUA TAYARI UMESHAFANIKIWA KUINGIZA DARSA KWENYE SIMU YAKO NA SISI TUTAKUTAKIA MASOMO MEMA NA ALLAH ATUPE UFAHAMU WA MAMBO YA DINI (AAAAMIN)
TUNATUMAI ALLAH ATATUFAHAMISHA NA TUTAFAHAMU
KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSIANA NA SOMO HILI WASILIANA NA SHEIKH MOHAMMED BIN SOUD
KWA NAMBARI ZIFUATAZO +255777868584
ALMADRASATUL DAARUL INSWAAF MUEMBE NJUNGU ZANZIBAR
Alhamdulillah kwa hatua hii uliyofikia sheikh na mwalimu wangu. Naona sasa jinsi chuo chetu kitakavyokuja juu tena na kutambulika Tanzania nzima na Africa Mashariki yote. Shukran na Mola azidi kukupa tawfiq ya kuendeleza mengine mazuri. Aaammiiinn
ReplyDeleteINSHAALLAH AAAMIIN
Delete