Header Ads

Cup of coffee on saucer

NAFASI ZA KAZI

Assalam alykum.        Habari.   Kama una ndoto za kufika Saudi arabiyya kufanya kazi.  Hujachelewa fika Tomondo maduka7 siku ya Alkhamis tareh 11 mwezi huu SAA 1:45 njoo na vitu vifuatavyo. Picha paspotsize1,copy ya paspot ya rangi1,cheti cha kuzaliwa copy, kitambulisho cha ukaazi copy ya rangi1, CV copy ya rangi1, vyeti vya skuli na kazi yoyote uliosomea, pamoja na tsh 30,000 ya kujaza fomu. Or call 0776881946 na uwahi mapema kuja ili tuondoke mapema Kuelekea Saudia

NAFASI ZA KAZI OMAN,DUBAI NA QUWAIT

Assalam Alykum Warahma tullahi Wabarakatuh Tunapenda kuwajulisha kwamba tunatoa nafasi zakazi za huko nje ya nchi Oman, Dubai,Quwait,qatar nafasi hizo zinapatikana bila ya kipingamizi chochote wahi mapema wasilia na Siafu kwa namba 0776881946 kwa kuhitaji nafasi hizoooo.

COPY YA PASPOT YAKO ITAHITAJIWA

8 comments:

  1. mimi ni fundi wa umeme wa magari ni nacho cheti cha ufundi. pia ni dereva Ni nacho cheti

    ReplyDelete
  2. Hello samahan ..... Nilikua nauliza km nafas za kaz bado zipo

    ReplyDelete
  3. Mm nahitaji sina pesa ya fom

    ReplyDelete
  4. Mimi Nina sivii yakuuza baar nakufanya kazi zandani yaani housegarl sinapasspot nisaidie nipate kazi

    ReplyDelete