IFAHAMU SALA YA TASBIHI KWA KUFUATA MAELEZO YA PICHA HII
naitwa: Swalat At-Tasbihi kwa sababu mna nyiradi zaidi za kumsabbih
(kumtakasa) Mwenyezi Mungu, katika mwahala maalum, ndani ya Swala
yenyewe. Tasbihi hizo, kwa idadi zilizotajwa, na ambazo jumla yake ni
300, husomwa hata katika Rukuu, Sijida na kitako cha baina ya Sijida
mbili. Na husomwa, baada ya kusoma tasbihi za kawaida za Rukuu na
Sijida.
No comments