Header Ads

Cup of coffee on saucer

AL AKH IBRAAHIM SIAFU | SHAIRI [ TUCHUKUE TAHADHAARI ZIDI YA JANGA COROONA ]



Kubaki majumbani ni neema, na kunakusanya neema nyingi, ikiwemo kutafarragh na Qur'an na dhikr na swaum na kuwapa tarbiyah watoto na manufaa mengine.
Basi mhimidini Allaah kuwa linalotakiwa- katika kukabiliana na ugonjwa- ni kubaki katika majumba yetu, si kutoka humo. Katika hadith..⏬
الشيخ د. محمد غالب العُمري حفظه الله:
*"Atakayepambaukiwa ana amani nyumbani kwake, ana afya katika mwili wake, ana chakula cha siku yake, basi ni kama amepewa dunia yote". البقاء في البيوت نعمة، وتتضمن نعما كثيرة، من التفرغ للقرآن والذكر والصيام وتربية الأبناء ومنافع أخرى.
في الحديث : *"من أصبح منكم آمناً في سربه ، معافى في جسده ، عنده قوت يومه ، فكأنما حيزت له الدنيا"
فاحمدوا الله أن المطلوب -في مواجهة المرض- هو بقاؤنا في بيوتنا، لا خروجنا منها.

No comments