"Kubaki majumbani ni neema, na kunakusanya neema nyingi, ikiwemo kutafarragh na Qur'an na dhikr na swaum na kuwapa tarbiyah watoto na manufaa mengine.
Basi mhimidini Allaah kuwa linalotakiwa- katika kukabiliana na ugonjwa- ni kubaki katika majumba yetu, si kutoka humo. Katika hadith..
*"Atakayepambaukiwa ana amani nyumbani kwake, ana afya kasi ni kama amepewa dunia yote".tika mwili wake, ana chakula cha siku yake, ba
الشيخ د. محمد غالب العُمري حفظه الله:
البقاء في البيوت نعمة، وتتضمن نعما كثيرة، من التفرغ للقرآن والذكر والصيام وتربية الأبناء ومنافع أخرى.
فاحمدوا الله أن المطلوب -في مواجهة المرض- هو بقاؤنا في بيوتنا، لا خروجنا منها.
في الحديث : *"من أصبح منكم آمناً في سربه ، معافى في جسده ، عنده قوت يومه ، فكأنما حيزت له الدنيا"
KWA KUSIKILIZA AUDIO HIII BONYEZA HAPA
No comments