KHUTBA YA IJUMAA 27/03/2020 :CORONA PIA NI MIONGONI MWA MAJESHI YA ALLAH.mp3 | SHEIKH MOHAMMED BIN SOUD
"Kubaki majumbani ni neema, na kunakusanya neema nyingi, ikiwemo kutafarragh na Qur'an na dhikr na swaum na kuwapa tarbiyah watoto na manufaa mengine.
Basi mhimidini Allaah kuwa linalotakiwa- katika kukabiliana na ugonjwa- ni kubaki katika majumba yetu, si kutoka humo. Katika hadith..
*"Atakayepambaukiwa ana amani nyumbani kwake, ana afya katika mwili wake, ana chakula cha siku yake, basi ni kama amepewa dunia yote".
الشيخ د. محمد غالب العُمري حفظه الله:
البقاء في البيوت نعمة، وتتضمن نعما كثيرة، من التفرغ للقرآن والذكر والصيام وتربية الأبناء ومنافع أخرى.
فاحمدوا الله أن المطلوب -في مواجهة المرض- هو بقاؤنا في بيوتنا، لا خروجنا منها.
في الحديث : *"من أصبح منكم آمناً في سربه ، معافى في جسده ، عنده قوت يومه ، فكأنما حيزت له الدنيا"
KWA KUSIKILIZA KHUTBA HII NA KUIHIFADHI NDANI YA SIMU AU KOMPYUTA YAKO
BONYEZA hio picha yenye kusomeka MP3 DOWNLOAD
SHEIKH MOHAMMED BIN SOUD
DAARUL INSWAAF MUEMBE NJUGU ZANZIBAR
KWA KUONGEA NA SHEIKH WETU PIGA
+255777868584
No comments