Header Ads

Cup of coffee on saucer

AL AKHY IBRAHIIM SIYAFU : " SIRI YA FURAHA YA MAISHA YANGU NI WEWE MKE WANGU"

Image result for pete za uchumba
ONYO UKIWA HUJAOA AU KUOLEWA USISIKILIZE AUDIO HIII SITAHUSIKA NA LOLOTE
WEngi tunajikuta tulikua tunapendana sanA kabla ya kuoana NA kuambiana maneno mazuuuri kuliko ASALI na kila mtu alikua anampenda mwenziwe saana zaidi ya sana lakini upendo unakufa na kupungua baada ya kuoana YOTE yanatokea kwa sababu za kuzoeana na kila mtu anakua na mwenziwe hatimaye yale maneno mazuri yanatoweka kabisa nini CHA KUFANYA ikitokea hayo? jitahidi kurudisha upendo wako kwa kumwambia maneno mazuuri mke wakoo SIKILIZA AUDIO HIYO KUTOKA KWA (AL AKHY IBRAHIM SIYAFU 95) KWA mawasiliano zaidi nitafute kupitia ......... FACEBOOK ::::::::: SIYAFU WHATSAPP :::::::::: +255 776 881 946 TELEGRAM ::::::::::: +255 776 881 946 YOUTUBE ::::::::::: SIAFU 95 TV CALL & SMS ::::::::::: +255 776 881 946

No comments