Header Ads

Cup of coffee on saucer

Huyu ndie SHEIKH SALUM MSABBAH bingwa wa kutafsiri QUR-AN kwa kutumia AKILI na HOJA MADHUBUTI na UKITAKA UTHIBITISHE BONYEZA HAPA

Image result for REDIO NOUR FM




وَإِذَا قُرِئَ عَلَيْهِمُ الْقُرْآنُ لَا يَسْجُدُونَ ۩ {21} Na wanaposomewa Qur’an hawasujudu? Na wanaposomewa Qur’an hawasujudu? Hawakiri wala kusalimu amri. Sheikh Muhammad Abduh anasema kuwa, usifikirie Qur’an haikugonga nyoyo zao wala kufika sauti yake ndani ya dhamiri zao, bali imefikia kiwango cha kukinaisha, lakini inadi tu ndiyo inayowazuia kuamini chan­zo cha ukadhibishaji, sio uzembe wa dalili, isipokuwa ni uzembe wa mwenye kupewa dalili na upinzani wake USIKOSE KUSAMBAZA NAKALA HII ILI IWE SADAKA YAKO KWA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAP TUMA SMS KWENYE NUMBER HII UKIWA WHATSAP +255776881946 FACEBOOK PAGE / SIAFU 95 SOCIETY

No comments