Huu ndo ukamilifu wa binaadamu na hakuna mkosefu chini ya Jua ila MKOSEFU MZURI ni yule anaekosea akishajua kosa lake huomba MSAMAHA kwa yule alie mkosea hivyo tunatakiwa tusione tabu wa aibu kusema neno SAMAHANI
MAANA ALLAH HUWASAMEHE WAJA WAKE PINDIPO wanapokosea wakaomba Radhi
Kwa kujiunga na group letu LA whatsap tuma ujumbe kupitia +255776881946
Na UKIWA upo Facebook tutafute kwa KUGUSA HAPA
Asalam alaykum mko uzuri Masha lla Mungu azidi kukuzidishiyeni Amin 🙏
ReplyDelete