Duaatsalaftz.net:
💎السؤال *Swali*
ما حكم الصوم مع ترك الصلاة في رمضان؟
*Nini hukumu ya funga ya mtu asiyeswali?*
📔فأجاب الشيخ بن عثيمين رحمه الله:
*Akajibu Shekh Bin Uthaimin Allah amrehemu*
إن الذي يصوم ولا يصلي لا ينفعه صيامه
*Hakika yule ambaye anafunga na wala haswali hainufaishi funga yake*
ولا يُقْبَل منه ولا تبرَأ به ذمَّته.
*Wala haikubaliki kwake hiyo funga na wala haimuondoi yeye kwenye dhima ya kutekeleza hiyo funga(anahesabika kuwa hajafunga)*
بل إنه ليس مطالباً به مادام لا يصلي؛
*Bali hakika ya hiyo funga yake haihitajiki maadam haswali*
لأن الذي لا يصلي مثل اليهودي والنصراني،
*Kwasababu asiyeswali ni mfano wa Myahudi na Mnaswara*
فما رأيكم أن يهوديًّا أو نصرانيًّا صام وهو على دينه، فهل يقبل منه؟
*Mnaonaje iwapo Myahudi au Mnaswara akifunga na hali yuko kwenye dini yake,je atakubaliwa funga yake?*
لا. إذن نقول لهذا الشخص:
*Hapana,haiwezi kukubaliwa,kwahiyo tunasema kumwambia huyu mtu:
تب إلى الله بالصلاة وصم،
*Tubia kwa Allah, kwa kuswali na kufunga.
ومَن تاب تاب الله عليه.
*Na atakayetubu,Allaahu atamkubalia toba yake*
📚( من كتاب ٤٨ سؤال في الصيام للشيخ بن عثيمين رحمه الله ج١ ص١٧)
💐💐
https://t.me/duaatsalaftz
💦💦
No comments