Header Ads

Cup of coffee on saucer

TATUA SHIDA ZAKO KWA MANENO HAYA YA ALLAH S.W

*Je unamatatizo?*

*Hakuna dua nzuri ya mazito kama;*

حَسْبُنَا اللَّهُ وَنِعْمَ الْوَكِيلُ
*Hasbuna Allahu waneemal wakiil*

MAANAKE;
*Anatutosha Allah nae ni mbora wa kutegemewa*

Pili
وَأُفَوِّضُ أَمْرِي إِلَى اللَّهِ
*Wa ufawwidu amrii ilaa Allah*

MAANAKE;
*Nami namkabidhi ALLAH mambo yangu*.

Pamoja na kuleta *ISTIGHFARI* kwa wingi kwa kusema;

*(ASTAGHFIRULLA* *ALADHIIM WA ATUUBU ILEYHI )*

*Kama mambo yako shwari rushia 📲wenzako kweni haujui matatizo ya wenzako!*

Muombee dua Aliekufikishia haya👆🏽

*🕋mkono kwa mkono hadi peponi🕋*

Post a Comment

No comments